We make it easly and possible
Smart Cargo Management
for Tanzanian
Logistics Companies
KAGOPOINT ni mfumo wa Akilikubwa Digital Agency iliyo chini ya Akilikubwa Co. Ltd unaowezesha kampuni za usafirishaji wa mizigo kusimamia taarifa, wateja, mapato na matawi yao kwa urahisi na kwa wakati mmoja.
Create Account Login NowWe make it easly and possible
Smart Cargo Management
for Tanzanian
Logistics Companies
KAGOPOINT ni mfumo wa Akilikubwa Digital Agency iliyo chini ya Akilikubwa Co. Ltd unaowezesha kampuni za usafirishaji wa mizigo kusimamia taarifa, wateja, mapato na matawi yao kwa urahisi na kwa wakati mmoja.
Create Account Login Now
About Kagopoint
Smart Cargo Management for Tanzanian Logistics Companies
KAGOPOINT ni mfumo wa kidigitali uliotengenezwa na Akilikubwa Digital Agency iliyo chini ya Akilikubwa Company Limited kwa ajili ya kuimarisha utendaji wa kampuni za usafirishaji wa mizigo nchini Tanzania. Kupitia mfumo huu, kampuni zinaweza:
- Kupokea mizigo na kurekodi taarifa kwa usahihi
- Kutengeneza na kuhifadhi database ya wateja wao
- Kusimamia matawi na wafanyakazi
- Kupata taarifa za mapato kwa haraka (daily, weekly, monthly)
- Kusimamia shughuli nyingi kwa wakati mmoja bila makaratasi
Kusudi kuu la KAGOPOINT ni kuongeza uhakika, uwazi, kasi na ufanisi kwa kampuni zote za kusafirisha mizigo.
Quick Value Highlights
Manage Cargo Effortlessly
Pokea na kurekodi mizigo yote inayoingia na kutoka. pata report kamili ya mizigo husika
Real Time Messaging
Tuma ujumbe wakupokea mzigo kwamteja au taarifa za huduma zako kirahisi na haraka.
Customer Database
Tengeneza na hifadhi taarifa zote za wafanyabiashara wanaotumia huduma yako.
Track Revenue
Fatilia na fahamu mapato yanayoingia kila siku, kila tawi, na kila mzigo.
Multi-Branch Access
Tengeneza matawi zaidi ya moja, weka wafanyakazi, na simamia shughuli zote kutoka sehemu moja.
Role Based Account
Tengeneza Account za wafanyakazi kulingana na majukumu na nafasi zao
Services
The Services we provide
Kusudi kuu la KAGOPOINT ni kuongeza uhakika, uwazi, kasi na ufanisi kwa kampuni zote za kusafirisha mizigo.
Cargo Reception & Recording
Rekodi taarifa zote za mizigo: mzigo unakotoka, unakoelekea, mtumaji, mpokeaji, gharama, na status.
Customer Database Management
Hifadhi na simamia taarifa za wafanyabiashara wanaotumia kampuni yako kila siku.
Multi-Branch Management
Unda matawi, weka wafanyakazi, na fatilia kazi zao ndani ya mfumo mmoja.
Revenue Tracking & Reporting
Angalia mapato yanayotokana na kila mzigo, kila tawi, na kipindi chochote.
Staff Access & Permissions
Weka roles mbalimbali: Super manager, branch manager, Normal staffs, etc.
Secure Cloud Storage
Data zako zote zinahifadhiwa salama na unaweza kuzipata muda wowote.
Meet All Members
Team Members
We have great Team in Tech, finance, management and other workers
Testimonial
What People and Clients Think About Us?
Moses OnyangoWakala Usafirishaji
Fatma SalimMeneja wa Ununuzi
Juma KassimMfanya Biashara
Grace MwangiMfanya Biashara
Rashida HusseinDalali Masafirishaji
About Akilikubwa Co. Ltd
Smart Cargo Management for Tanzanian Logistics Companies
Akilikubwa Digital Agency ni Sub-company iliyo chini ya Akilikubwa Company Limited iliyowekeza zaidi kwenye teknolojia kwa kujikita kwenye kutengeneza mifumo ya kidigitali, mobile Apps, Website, automation, AI solutions, na software za kusaidia biashara kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
For Call: 0659 598897
For Call: 0686 255811
For Call: 0614 928525
Join For Free Now
Kusudi kuu la KAGOPOINT ni kuongeza uhakika, uwazi, kasi na ufanisi kwa kampuni zote za kusafirisha mizigo.
KAGOPOINT ni moja ya mifumo yetu iliyotengenezwa maalumu kwa sekta ya usafirishaji wa mizigo.